Hadija Mwanamboka Aibuka na Vitu Vvya Hadija Kinondoni Blok 41

Posted on 15/Dec/2014 to

Mjasiriamali na mbunifu wa mavazi nchini, Khadija Mwanamboka amesema ubunifu anaoutumia kwenye mavazi, aliuhamishia kwenye biashara yake ya mgahawa wa vyakula ‘VVK’ ndio maana mwezi huu unatimiza mwaka mmoja ukiwa na mafanikio makubwa. Khadija ameeleza kuwa kupitia mgahawa huo wa VVK ambacho ni kirefu cha Vitu Vya Khadija uliopo Block 41 Kinondani, jijini Dar es salaam, amesema dani ya mwaka mmoja ameweza kuvuka matarajio ya kuwafikia wateja wengi zaidi.

Tanzania Mitindo House Yasherehekea Kuadhimisha Miaka 7

Posted on 17/Sep/2014 to

Sehemu ya Watoto yatima wanaolelewa na Kituo cha Tanzania Mitindo Houshe chini yake Mwanamitindo nguli hapa nchini,Khadija Mwanamboka wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wasimamizi wao wakati wa sherehe ya kuadhimisha miaka 7 ya kituo hicho iliyofanyika mwishoni mwa wiki,Msasani jijini Dar es Salaam.

BALOZI WA OXFAM TANZANIA KHADIJA MWANAMBOKA AZINDUA PROJECT YA VVK-GROW CAMPAIGN

Posted on 24/Sep/2013 to

MBUNIFU WA MITINDO YA MAVAZI NA BALOZI WA OXFAM TANZANIA,KHADIJA MWANAMBOKA LEO AMEZINDUA PROJECT YA VVK-GROW CAMPAIGN. PROJECT HII NI KAMPENI ILIYOBUNIWA NA KUENDESHWA NA BALOZI WA OXFAM,KHADIJA MWANAMBOKA IKIWA NA LENGO LA KUAINISHA CHANGAMOTO ZA SOKO KWA WAKULIMA WA CHAKULA HASA WANAWAKE,KUANIKA DHULUMA WANAYOFANYIWA WAKULIMA WA CHAKULA WANAWAKE NA KUHAMASISHA WATUMIAJI WA BIDHAA ZA CHAKULA MIJINI,KUTAMBUA THAMANI YA CHAKULA NA KUWA SOKO LENYE TIJA KWA WAKULIMA WA CHAKULA HASA…

Fashion designer Khadija Mwanamboka gives sewing lessons to deafblind students in Tanzania

Posted on 21/Aug/2013 to

We are delighted to report on our ongoing work with our Ambassador for Sense International in Tanzania, fashion designer and philanthropist, Khadija Mwanamboka. Six of our students have been visiting Khadija for sewing lessons, learning new skills and unleashing their creativity. The lessons culminated in the students visiting Mitindo House, the NGO run by Khadija to use the fashion industry to reach out to the community, celebrating Africa Children's Day in June.

Bongo Black Ball ya Khadija Mwanamboka – Mlimani City ilivyofana

Posted on 27/Apr/2013 to

Usiku wa jana mbunifu wa mavazi Khadija Mwanamboka kupitia kampuni yake ya Vitu Vya Khadija Events & Clothing aliandaa party yenye jina Bongo Black Ball: Celebrating Tanzanian Music na kuwaalika wadau mbilimbali wa masuala ya fashion nchini. BBB iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City, ilihudhuriwa na mastaa na wadau kibao kwenye fashion industry nchini. Hizi ni picha za BBB. Wasanii waliotumbuiza ni pamoja na Linex na Mwasiti.

Uzinduzi wa Vitu vya Khadija na Bongo Black Ball (Dinner and Dance Party)

Posted on 26/Apr/2013 to

Mbunifu wa Mavazi Khadija Mwanamboka ambaye pia ndio Mwandaaji wa Bongo Black Ball Party iliyobeba Theme ” Celebrating Tanzania Music” wakati wa uzinduzi wa Kampuni ya Vitu vya Khadija Events & Clothing akiwa na wadau mbalimbali kwenye mnuso wa nguvu uliowakutanisha Masupastaa wa Bongo wadau waliopo kwenye Fashion Industry katika usiku uliopambwa na msanii Mkongwe wa muziki nchini King Kiki a.k.a mzee wa kitambaa cheupe pamoja na burudani kutoka kwa wasanii…

Khadija Mwanamboka Ndani ya Studio za VOA

Posted on 23/Sep/2011 to

MWENYEKITI WA TANZANIA MITINDO HOUSE KHADIJA MWANAMBOKA AKIWA KATIKA STUDIO ZA VOICE OF AMERICA WAKATI AKIHOJIWA NA MTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI KUHUSU ONYESHO LA MAVAZI LINALO FANYIKA KESHO HUKO WASHINGTON DC KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA,SHEREHE HIZO ZINAAMBATANA NA KONGAMANO LA DICOTA 2011 ALIWATAJA WABUNIFU AMBAO KAZI ZAO ZITAONYESHWA KATIKA TUKIO HILO LA KIHISTORIA NI FARHA SULTAN,ZAMDA GEORGE,GABRIEL MOLLEL,BINTI AFRIKA,JAMILA SWAI, MUSTAFA HASSANALI PAMOJA…

Bongo Celebrity Yafanya Mahojiano na Khadija Mwanamboka Juu ya Miaka Mitatu ya TMH

Posted on 06/Dec/2010 to

Wiki kadhaa zilizopita, kituo cha kulelea watoto yatima na wale wanaoishi katika mazingira magumu kilicho chini ya Tanzania Mitindo House(TMH), kilitimiza miaka mitatu(3) tangu kianzishwe.Katika shamrashamra za kusheherekea miaka hiyo mitatu,BC ilipata nafasi ya kuongea na Bi.Khadija Mwanamboka,mbunifu maarufu wa mitindo nchini Tanzania ambaye pia ndio mwanzilishi wa kituo hicho ambacho kwa mujibu wa mahojiano niliyoyafanya naye miaka mitatu iliyopita,kuanzisha kituo kama hicho…

The cookie settings on this website are set to 'allow all cookies' to give you the very best experience. Please click Accept Cookies to continue to use the site.